diva wa tasnia ya filamu nchi Tanzania irene owoya ampokonya tonge alie kuwa girlfriend wa msanii wa bongo fleva kutoka T.H.T msami alipo ulizwa msami kuwa anatoka na irene owoya alikanusha kabisa habari hizo ila haikuwa hivo upande wa pili kwa irene ambaye alikubari kuwa anatoka kimapenzi na msami
Posted by flavian kachira
No comments:
Post a Comment