Wednesday, June 11, 2014

Breakingnews: soko la karume linateketea na moto

Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto. Habari zaidi zitafuata. Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana. Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa. Nguzo za umeme zinaungua pia.


Posted by flavian kachira

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews