Diamond Platnumz hajashinda tuzo ya BET mwaka huu lakini walau ameweza kukutana na kuongea na msichana ambaye wanaume wengi wangependa walau kupiga naye picha, mrembo Karruche Tran.
Tran ambaye ni mpenzi wake na Chris Brown ndiye aliyekuwa akiwahoji mastaa waliokuwa wakipita kwenye red carpet ya BET Awards.
Diamond ameshare picha Instagram akiwa na msichana huyo. BONYEZA HAPA VIDEO IPO HAPA
Posted by flavian kachira
No comments:
Post a Comment