Thursday, July 3, 2014

Hatimaye video ya kerewa ya @shetta imefika huku

Moja ya malengo ya Shetta kwenda kufanya video nje ya Tanzania yameanza kutimia na kwa mara ya kwanza video ya Shetta imepata airtime kwenye kituo hiki.

Content unavailable Video ya Shetta imetambulishwa kwenye kituo cha MTV Base kwenye kipindi maalum cha kutambulisha video mpya. BONYEZA HAPA 


Posted by flavian kachira

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews