Friday, July 4, 2014

kusuhu mtoto alietelekweza na mama yake apatika sikiliza katika hekaheka

Mwanzoni mwa wiki hii kupitia idara ya Hekaheka ilitoka taarifa juu ya mtoto ambaye alitelekezwa nje ya gheti na baadae ikasemekana kuwa mama wa mtoto huyo alimtupa sasa mama wa mtoto huyo kashamchukua mtoto wake ingawa taarifa inasema kuwa mama huyo alimpeleka mtoto kwa baba yake hivyo inawezekana baba wa mtoto huyo ndiye aliyefanya kitendo hicho. SIKILIZA HAPA 


Posted by flavian kachira

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews