Mtangazaji wa Radio na Televisheni wa Clouds Media , Regina Mwalekwa , amejiunga na BBC London . Mtangazaji huyo leo ameaga rasmi wafanyakazi wenzake wa Clouds tayari kuelekea London, Uingereza BONYEZA HAPA
No comments:
Post a Comment