Single mpya ya Madee umeipata?...kama bado download hapa
Kwa mfumo wa muziki wa Madee huu anauita muziki wa Kwata ambao ni muunganiko wa Kwaito na Takeu ndio unautengeneza Kwata,single ya 3 kutoka kwake baada ya Pombe Yangu,Tema mate tuwachape na hii Nisheeeda. DOWNLOAD HAPA
No comments:
Post a Comment