Thursday, June 26, 2014
Baada ya kumng'ata mchezaji suarez atolewa nje ya mashindano ya kombe la dunia
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay
Luis Suarez amefungiwa mechi tisa na
shirikisho la kandanda duniani Fifa baada ya
kupatikana na hatia ya kumng’ta mlinzi wa
timu ya Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi
yao ya kombe la dunia nchni Brazil.
Suarez pia amefungiwa kutojihusisha na
shughuli yoyote ya kandanda kwa miezi minne
na kutozwa faini ya £65,680.
Kutokana na adhabu hiyo Suarez sasa
hatashiriki tena kwenye mechi zilizosalia za
kombe la dunia.
Labels:
flaviankachira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment