Cover la ngoma mpya 'hawajui' kutoka kwa Vannesa mdee
Mapema leo kupitia page yake ya Instagram Vanessa Mdee amepost cover la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Hawajui’ ngoma hiyo inayotarajiwa kutoka June 13 na imetayarishwa na producer wa Switch Records, Nahreel.
No comments:
Post a Comment