Tuesday, June 10, 2014

Kioo cha jamii kwa style hii

Hapo akiwa anavuta Bangi bila ya uwoga… Pembeni ni Baunsa akimwomba akiustaarabu asivute bangi hiyo lakini chid akawa hajili na kuendelea kufanya yake Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa sasa ameshaanza kuwa chizi. Wakati akiwa anafanya Show Katikati ya baada ya mzuka kumpanda Chid alichafua hali ya hewa baada ya kuzama mfukoni na kutoka Bonge la kipisi cha Bangi kilichoshiba na kukiwasha pale pale jukwaani bila hata Uwoga… Hapo ndipo Baunsa wa Maisha kabla akambadilikia kama Mbogo na kumpora hiyo bangi ili asiendelee kuivuta. Kitendo hicho cha kuvuta bangi Club kimeshushia heshima Msanii huyo ambaye ni kioo cha Jamii


Posted by flavian kachira

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews