Imeripotiwa watu 8 wamejeruhiwa mmoja
akiwa mahututi baada ya kutokea mlipuko
kwenye mgahawa mmoja uliopo eneo la
GymKhana jijini Arusha.
Mlipuko huo umetokea Jioni ya July 07 na
chanzo cha mlipuko huo bado
hakijafahamika,ingawa kwa sasa Jeshi la polisi
linawashikilia watu wawili wakihusishwa na
mlipuko huo.
Posted by flavian kachira
No comments:
Post a Comment