Unaambiwa Matumizi ya Bangi kama
kiburudisho yamehalalishwa kutumika kwenye
jimbo la Washington nchini Marekani.
Washington ni jimbo la pili nchini Marekani
kuhalalisha Bangi baada ya Colorado ambako
jimbo hilo linajipatia mamilioni ya dola kila
mwezi kwa ushuru unaokusanywa kwa
biashara za Bangi kwa wanaoitumia
kujiburudisha.
Kwa sasa ni maduka 25 pekee yaliyoruhusiwa
kuuza Bangi ingawa wadau wanaamini kuwa
idadi ya maduka huenda ikaongezaka na
kufika miamoja katika sehemu zingine za
Marekani, majimbo 23 yanaruhusu matumizi
ya Bangi kwa sababu za kimatibabu.
Posted by flavian kachira
No comments:
Post a Comment