Sunday, March 29, 2015

Kendrick Lamar agonga namba moja kwenye chati za Billboard na album mpya.

Rapa Kendrick Lamar ametua kwenye sehemu ya kwanza kwenye chati za album za Bilboard 200 na album yake yake ya  To Pimp a Butterfly. Rapa huyu kutoka mitaa ya Compton amefanikiwa kutoa album yake ya tatu mapema March 16,na kuuza kopi 363,000 kwenye wiki ya kwanza.

Album ya Kendrick iliyopita  good kid, m.A.A.d. city ilishika namba 2 kwenye wiki yake ya kwanza na kuuza kopi  241,000 na mpaka sasa imefikisha kopi milioni 1.4 duniani.

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews