Msanii kutoka nchini Kenya, Prezzo
amemtambulisha rasmi mrembo wake mpya.
Prezzo alitweet: Even when the stars would
break, she would rub me on my back and say
babie it’ll be ok#Empress
#MyHommieLoverAndFriend #QueenWithTheCrown
Wawili hao wamekuwa karibu na kuonesha hisia
zao mbele ya umma kwa kujiachia japo Prezzo
hakuweka wazi jina la mrembo huyo.
Posted by Almas
No comments:
Post a Comment