Kwenye Interview aliyofanyiwa hivi karibuni
rapa Kanye West amezungumzia kwanini
anajiita ‘Genius’.
Kanye West anasema ” Nibora nijipe jina
mimi mwenywe kuliko nipewe majina kama
“celebrity,” “nigger,” or “rapper.”, ambayo
piwa wakati wanakuita hivyo hawafanyi kwa
mazuri, lazima niseme kwa watu mimi ni
nani ” .
No comments:
Post a Comment