Rick Ross amefanyiwa mahojiano na kipindi
cha “The Breakfast Club” kuhusu beef ya
Meek Mill Vs Drake na 50 Cent.
“Hakuna aliyekalishwa na beef hii, ni kitu
kizuri kuona mashindano kama haya kwenye
hiphop, ”
Rick Ross amewafananisha Drake na Meek
Mill kama wadogo zake waliogombania viatu
vya Jordans wakuwa shule.
“I think this is what’s good for the culture.
Coming up in the game, you will have
skirmishes going for the No. 1 spot.”
No comments:
Post a Comment