Album mpya ya Kendrick Lamar, haikuwa ikiitwa
To Pimp a Butterfly.
Jina lake la awali lilikuwa likikaribiana kufanana
lakini lilikuwa katika kifupi na hivyo kuifanya blog
moja ya hip hop ibashiri jina lake.
Rapper huyo wa Compton alikuwa akizungumza
na MTV News na kudai kuwa alikuwa amepanga
kuiita album ‘To Pimp a Caterpillar’ ambayo
ilikuwa kama heshima kwa jina la Tupac.
Lamar amedai kuwa alikuja kufurahishwa
kugundua kuwa blog ya Dead End Hip Hop
iling’amua hilo mapema.
“That was the original name and they caught it
because the abbreviation was Tupac, Tu-P-A-C,”
alisema.
“Me changing it to Butterfly, I just really wanted
to show the brightness of life and the word
“pimp” has so much aggression, and that
represents several things. For me, it represents
using my celebrity for good.
Another reason is,
not being pimped by the industry through my
celebrity.”
Posted by Almas
No comments:
Post a Comment