Thursday, April 2, 2015

Rapa ice prince akutana na Jay z mashabiki wahisi kunakitu kikubwa kinakuja

Rapper Panshak “Ice Prince” Zamani wa Nigeria
ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa
Jokate ‘Leo Leo’ uliotoka hivi karibuni, ameweka
picha aliyopiga na rapper wa Marekani, mme wa
Beyonce na boss wa Roc Nation, Jay Z
iliyowafanya mashabiki wa muziki wapate hisia
kwamba huenda kuna kitu kikubwa kinakuja.

Ice Prince na Jay Z
Kwenye picha hiyo Ice ameandika :

“#Roc The
story Loading… Ice|Hov“ .
Kwenye picha hii ameandika: “Alot Learned
Today! Bless King Hov cc @iamsirnigel
@rogerbeat @tobisannidaniel @obithemanager0
Africa To the World”



Posted by Almas

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews