Monday, October 12, 2015

Tyga atenga mapenzi na pesa,akubali huu mkwanja iliaonekane kwenye kipindi cha The Kardashians.

Kama ilivyokuwa ngumu kwa Kanye West
kuonekana kwenye kipindi cha The
Kardashians wakati ananza mahusiano na
Kim K, bsai imetokea kwa rapa Tyga ambaye
imetajwa kuwa atalipwa dola 25000 kila mara
atakapo onekana kwenye episode tofauti.

Tyga yupo kwenye mahusiano na mtoto wa
familia ya The Kardashians ‘Kylie’ na
ataonekana kwenye msimu wa 11 wa KUWTK
unaoanza November 11 2015.

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews