Monday, October 12, 2015

Young Thug asema asilimia tisini ya nguo zake ni za kike,kwanini,,,viko hapa.

Rapa Young Thug amehojiwa na jarida la The
Guardian ,kuhusu mambo tofauti ambayo
maadui wake hutumia kumponda na
kumuongelea vibaya.

Young Thug kaulizwa kuhusu kuvalia nguo
za kike na kama anapendelea kuwa na
wanaume au wanawake?
Young Thug anasema “ Napenda kuvaa nguo
za kike kwa sababu zinanikaa vizuri zaidi,
nguo za kike zinakuja kwenye size ile
nayoitaka na hata jeans nazovaa ni za kike
tu, Jeans nazovaa zote ni za kike hata hii
niliyovaa hapa na kama kuna kitu cha kiume
kwenye kabati langu basi itakuwa t shirt na
sneaker tu, asilimia 90 ni mavazi ya kike “
Kuhusu mahusiano na jinsi gani anapendelea
,Young alikwepa swali hilo.




Posted by 13

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews