Monday, October 12, 2015

Baada ya Drake na Future,sasa zamu ya French Montana na Fetty wap kufanya mixtape pamoja.

French Montana na Fetty Wap wametangaza
rasmi kuwa wanafanya mixtape ya pamoja.

Rafiki wa French Monatana na rapa wa Coke
Boys Zack amesema baada ya wawili hawa
kukaa pamoja kwenye tour ya Chris Brown
wamekubaliana kufanya kazi pamoja.

Mixtape inanyimbo kama sabab na itaitwa
Coke Zoo.

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews