Monday, October 12, 2015

Young dee azungumzia sababu za kujito mtu chee

Young Dee ameimbia 255 ya XXL kuwa
ameshauriwa na watu wake wa karibu kuachana
na project za kundi hilo na kusimama yeye
mwenyewe.

“Haina u-serous katika kazi,” alisema. “Mfumo
wake wa kazi ni ule wa mizuka, watu ambao
wananisaidia mimi kimawazo wamenishauri then
what’s after this project? Mimi ndio nimekuja na
jina la Mtu Chee, lakini nashindwa kuelewa after
that tunaelekea wapi? Mfumo, mmejipanga
mtafanya nini baada ya hapo? Kwahiyo
inaonyesha ni ule mzuka tu wa kurekodi,”
ameongeza.

“Basically nikaona hakuna haja ya kila siku kukaa
sehemu moja na kufanya kitu kile kile kinajirudia.
Hakuna malengo, kama utoto, kidogo tubadilike
sisi kama vijana ili tufanye vitu ambavyo hata
wengine wakija kufanya hawafikii pale tulipofikia,
kwahiyo no beef.”

Kundi la Mtu Chee kwa sasa linaundawa na
Country Boy, Stamina na Young Killer aliyechukua
nafasi ya Young Dee. Tayari wameshaingia studio
kuanza kuandaa project za kundi hilo.



Posted by 13

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews