BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond
Platinumz anaelekea huko kwasababu
amekuwa nominated kwenye kipengele cha
Best African Act. Diamond atapita kwenye red
carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali
siku ya tukio.
Hii ni sehemu ya nguo ambayo atavaa siku ya
tukio na imetengenezwa na Sheria Ngowi,
sehemu moja imeandikwa Mr Diamond
Platnumz
No comments:
Post a Comment