Thursday, June 26, 2014
Tarifaa ya kukanusha kufariki wa mbuge shukuru kawamba
Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda
maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na
Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda
kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya
Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge
Shukuru Jumanne Kawambwa kutokana na
Usumbufu ambao umesababishwa na habari
zinazoenezwa Mitandaoni kwamba
Mheshimiwa Kawambwa amekumbwa na
Umauti akiwa njiani anaelekea Mwanza.
UKWELI
Mheshimiwa Shukuru Jumanne Kawambwa
yupo Nchini Canada Akitimiza majukumu yake.
Hivyo Watanzania na wana Bagamoyo
mnaombwa radhi kwa usumbufu uliotokea na
kwamba Mheshimiwa Mbunge yuko na Afya
njema na utekelezaji wa Majukumu unaendelea
kama kawaida.
Ndg.Ridhiwani Kikwete (Mnec)
Mbunge -Chalinze
Labels:
flaviankachira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment