Friday, July 11, 2014

LG kutengeneza TV nyembamba kama karatasi


Kampuni ya LG Electronics ya Korea kusini
imetangaza kuwa iko mbioni kutengeneza TV
zenye wembamba kama wa karatasi, na ambazo
zinaweza kukunjwa au kuviringishwa bila
kuharibika.

Kampuni hiyo imesema kwa sasa inatengeneza
toleo lenye ukubwa wa inchi 18 na kuongeza
kuwa toleo la inchi 60 litaingia sokoni ifikapo
2017.

“We are confident that by 2017, we will
successfully develop an Ultra HD flexible and
transparent OLED panel of more than 60
inches, which will have transmittance of more
than 40 percent and a curvature radius of
100R, thereby leading the future display
market.

” alisema Byung Kang, mmoja wa
viongozi wa LG Display.
TV hizo zenye uwezo wa kukunjwa na kubebwa
kirahisi zitakuwa na picha zenye ubora wa
‘Ultra HD’.

TV hizo pia zitakuwa ni ‘transparent’ pale
zinapukuwa zimezimwa, kwa maana kwamba
unaweza kuona upande wa pili kama kioo.

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews