Wednesday, July 9, 2014

Ray C amjibu TID baada ya kumtukana matusi ya nguoni


Ray C ambaye hivi sasa ameanzisha Ray C
Foundation iliyojikita katika kusaidia watu
walioathirika na matumizi ya madawa ya
kulevya amemjibu msanii mwenzake TID
kufuatia matusi aliyomporomoshea kupitia
Instagram siku kadhaa zilizopita.

Ray C amepost instagram ujumbe unaowajuza
mashabiki wake kuhusu hali ya mama yake
aliyekuwa mgonjwa na kisha akayajibu ya TID.

“Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!
mama anaendelea vizuri Mungu ni
Mwema............(na kuhusu @tidmnyama -
Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila
sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria
anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na
majanga ya dunia!ubarikiwe sana
babaa...........” Ray C ameandika leo
Instagram.

Mtafaruku kati ya wasanii hao ulianza baada
ya Ray C kucomment kwenye post ya TID ya
Instagram akimtaka wazungumze.

“Come lets talk Tid ur the best musician in
east Africa pls lets talk @tidmnyama.”

Baada ya comment hiyo, TID aliandika
maelezo ambayo yalikuwa na matusi kwa Ray
C.

“Bi*ch leave me alone am not ur type also I
dont need shit from you,ur mistake is yours
nakuomba can u jus f*ck off,help ur
boyfriend,I have never liked you,full stop.”

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews