Sunday, June 22, 2014
Wema afunguka kwa uchungu baada ya watu kutoa lugha mbaya kwa mama yake
Wema Sepetu ameonekana kufungukia wale
wanaomtukana kila siku na sasa kufikia hatua
ya kumtukana hadi mama yake mzazi...
Kupita mtandao mmoja wa kijamii, Picha
moja ya mama mzazi wa Wema Sepetu
iliyotengenezwa na kuwa CHAFU ilitolewa
na kisha kuanza kushushiwa matusi
mazito...
Baada ya Picha na Matusi hayo, Wema
amefunguka kwa uchungu kwa kuandika:
"Dah...! Sijui hata niseme nini...! Ila si mlitaka
kuniumiza... leo mmefanikiwa... nawapeni
hongera.... Tena mmetisha haswa... Kila sjku
huwa hata siumizwi na matusi yenu cuz
naonaga kama ni mnajisumbua tu... Hakuna
siku nimelia kwa uchungu kama leo...
"I min mnitukane mimi mpaka mchoke but
leave my mum out of it... Kawakosea nini
nyinyi mama angu mpaka mfanye hivyo...
Mzazi nwenyewe ndo nimebakia nae mmoja
tu... mnataka afe na yeye nibaki yatima sio...
dah... leo mmeniweza... saana jamani... Basi
naomba isifike huko... nina uchungu sana na
mama angu ... nampenda sana mama angu ila
naona mnataka kuniulia mama angu...
"Picha halisi ndo hio hapo juu kweli mtu
uende ukamfanyie hivyo mama wa
mwenzako... una mama wewe.. au uliokotwa
na hujui uchungu wa mama... dah... nime
surrender leo.... hongera zenu narudia tena...
mmeniweza leo.... dah...
"Mungu nipe nguvu ktk hili jamani... Kwani
nilichokikosea haswa ni kitu gani mpaka iwe
hivi . Nimekosa nini mimi yarabi toba.... Eeeh
mungu... Dah... Ila nashkuru..." Ameandika
Wema Sepetu kwa Uchungu
Labels:
flaviankachira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment